Breaking News from Popular Tanzanian Instagrammers

Time:

MillardAyo

 • Likes 924
 • Username millardayo
 • Caption BREAKING: Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA Gianni Infantino amewasilia DSM Tanzania saa 04:40 #EAT akiambatana na Rais wa CAF Ahmad Ahmad na wamepokelewa na viongozi mbalimbali wa soka akiwemo waziri DR Mwakyembe #MillardAyoUPDATES
 • Likes 766
 • Username millardayo
 • Caption Kama Magazeti ya #Tanzania yamekupita leo February 22 2018, unaweza kuingia millardayo.com kuyasoma yote
 • Likes 2004
 • Username millardayo
 • Caption Matokeo ya game za UEFA Champions League zilizochezwa usiku wa February 21 2018 #MillardAyoUPDATES
 • Likes 1841
 • Username millardayo
 • Caption Kipi hapo huwa kinakupa stress zaidi?
 • Likes 5680
 • Username millardayo
 • Caption Karibu CLOUDS!! #AmplifayaONAIR na ngoma ya kwanza ya @sautisol ft. @patorankingfire
 • Likes 15200
 • Username millardayo
 • Caption #MillardAyoUPDATES

Mange

 • Likes 241
 • Username mangekimambi_
 • Caption Kila siku wanaagiza uchunguzi ufanyike ila hakuna kinachofanyika. Stupid!!!! #TanzaniaRevolution
 • Likes 1548
 • Username mangekimambi_
 • Caption #Tanzaniarevolution . . . . Join group la maandamano kwa kubonyeza link hapo kwenye app yangu....
 • Likes 1250
 • Username mangekimambi_
 • Caption Jiunge la group la maandamano kwa ku download app inaitwa Telegram alafu bonyeza link hapo kwenye bio yangu....... Wakifika elfu moja nalifunga group nafungua lapili.... Sitaki wazidi elfu kila group maana mtashindwa kuelewana message zikiwa nyingi....
 • Likes 1246
 • Username mangekimambi_
 • Caption Ushamba jamani admin nilikuwa sijui jinsi ya kublock watu. Basi nikadelete group bahati mbaya不不不, pls jiunge tena. Link iko hapo kwenye bio...Alafu natafuta watu waaminifu kama watatu hivi niwape power ya u-admin wakublock watu.... Ntawapa uwezo wakublock watu tu, sio kufanya lolote lingine..... . . Maelekezo ya kujiunga na Group la Tanzania Revolution Tafadhali download kwanza app ya telegram, ujiunge alafu bonyeza link hapo kwenye bio yangu. Moja kwa moja utajiunga kwenye group langu la Tanzania Revolution..... . . Mimi mwenyewe admin wa group siwezi kuona namba zenu za simu. Yani hata siwezi kuwajua. Yani hata nipigwe shoti za chuchu siwezi kuwauza.... Nachoona ni hayo majina mnayotumia tu. Kwa hiyo jueni mko very very safe, yani ongeeeni kwa raha... Nyambaf hapo watasanda kwenye kukamata watu 不不不 . . . Toeni ya moyoni hakuna wa kukukamata huko telegram. Sheria ya mitandao mwisho wake whatsapp.. . . Pia mnaweza kushare link kwenye magroup yenu ya whatsapp ili watu wahamie kwenye hilo group la telegram.... . . Wale mnaotengeneza posters na banners Naomba mzitupie humo kwenye group ila kila mtu aweze kutumia anavyoweza... . . Tangazo Mkiona kimeo chochote kwenye group niambieni nikiblock.
 • Likes 1029
 • Username mangekimambi_
 • Caption Ushamba jamani admin nilikuwa sijui jinsi ya kublock watu. Basi nikadelete group bahati mbaya 不不不, pls jiunge tena. Link hapo kwenye bio...Alafu natafuta watu waaminifu kama watatu hivi niwape power ya u-admin wakublock watu.... Ntawapa uwezo wakublock watu tu, sio kufanya lolote lingine...... . . Wapenzi pls bonyeza link kwenye bio yangu kujiunga na group la Tanzania Revolution. Uzuri wa telegram group moja linachukua watu laki 1. Ila nimeona tusijaze watu zaidi ya elfu 1 kwenye group moja sababu mtakuwa hamsikilizani, too many messages. Nyie mnaonaje?? . . Yani niliona wakifika elfu 1 naiblock link watu washindwe kujoin then nafangua jingine la watu elfu 1 pia.... . . Kwenye hizo group feel free, hakuna mtu atakaejua wewe ni nani. So jiachie tani yako. Hakikisha tu jina utakaloweka sio jina lako la ukweli. Hakuna mtu anaona namba yako ya simu.... Hapo ndo mnaweza kupeana ideas and so forth. . . Mkiona kuna kimeo chochote kipo kwenye group kinachafua hali ya hewa nistueni fasta nimchape block akajambe mbele... . . Kwa vile nipo busy sana hapa instagram, naweza nisiwe nachangia sana kwenye group ila ntakuwa nasoma kila mnachoandika nikipata muda...... . . Tafadhali kuwa makini kuficha identity yako. Usije kunogewa ukajisahau ukaweka namba yako ya simu sijui utumiwe nini. Na pia mkae mkijua kwenye magroup watakuwepo polisi, usalama wa taifa, wafua chupi za Bashite etc sio kila mtu humo ni muandamaji. So pls keeep identity yako private....... . . Maelekezo ya kujiunga na Group. Kabla hujabonyeza link Tafadhali download kwanza app ya telegram, ujiunge alafu ndio ubonyeze link.....
 • Likes 3565
 • Username mangekimambi_
 • Caption Dah naskia huyu kapotea watu wasiojulikana wamemteka sababu ya ku posti hii picha....

JamiiForums

 • Likes 293
 • Username jamiiforums
 • Caption Eastern Cape, Afrika Kusini: Polisi watano na Mwanajeshi mmoja wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa uvamizi kwenye kituo cha Polisi - Polisi watatu waliuawa papo hapo, huku wengine wawili waliokamatwa mateka wakati majambazi wanatoroka walikutwa umbali wa kilometa 6 wakiwa wameuawa - Mwanajeshi ambaye hakuwa kazini alipigwa risasi na majambazi hao wakati wakitoroka - Kundi hilo la majambazi waliokuwa wamejihami walivamia kituo hicho na kuchukua bunduki 10 na gari la Polisi - Polisi bado hawajui sababu za shambulizi hilo
 • Likes 1541
 • Username jamiiforums
 • Caption HAI, KILIMANJARO: Mwanafunzi mmoja wa Darasa la 6 katika Shule ya Msingi Kibohehe amefariki na wengine 5 kujeruhiwa baada ya kuangukiwa na ukuta wa Darasa. - Ukuta huo umeanguka kufuatia mvua kubwa iliyoambatana na upepo kunyesha mchana wa leo - Aidha majeruhi wamepelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Hai kwa ajili ya matibabuhuku uchunguzi zaidi wa tukiohilo ukiwa unaendelea.
 • Likes 1409
 • Username jamiiforums
 • Caption SHELISHELI: Yanga SC yafuzu kusonga mbele katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kutoka sare pacha ya goli 1 kwa 1 na St Louis FC - Yanga SC wamevuka kwenda hatua nyingine kwa mabao 2 kwa 1 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1 kwa 0 katika mchezo wa awali uliopigwa Jijini Dar. - Katika Mchezo wa leo goli la Yanga iliwekwa kimiani na Ibrahim Ajib katika dakika ya 45 huku lile la St Louis FC likifungwa dakika ya 92
 • Likes 8971
 • Username jamiiforums
 • Caption Mkuu wa Wilaya ya Pangani, Bi. Zainab Abdallah kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa Mumewe kwa kuoa Mke wa Pili - Kiongozi huyo wa Serikali ngazi ya Wilaya ameandika kuwa wazo hilo alilitoa yeye mwenyewe kutokana na kubanwa na majukumu mengi hivyo Mumewe kukosa huduma za msingi - Kupitia ukurasa huo amemkaribisha Mke mwenzake huyo ili wasaidiane majukumu ya ndani ya ndoa
 • Likes 2413
 • Username jamiiforums
 • Caption NORTH CAROLINA, MAREKANI: Muhubiri wa Kimataifa, Mchungaji Billy Graham(99) amefariki dunia akiwa nyumbani kwake - Mchungaji huyo amefikwa na mauti baada ya kuugua magonjwa kadhaa ikiwemo Saratani ya tezi dume na Kiharusi - Mwaka 1992 alialikwa na aliyekuwa Kiongozi wa Taifa la Korea Kaskazini, Kim Il-sung ili ahubiri katika viunga vya Jiji la Pyongyang
 • Likes 1420
 • Username jamiiforums
 • Caption GEITA: Jeshi la Polisi linamshikilia Neema Petro(25) Mama wa Mtoto Frank Bariki(6) aliyefariki wakati akiombewa mapepo - Mama wa Mtoto huyo pamoja na Mwenzake Raheli Musa(25) walipanda Mlima Gambiwe wakiwa na Mtoto huyo kwa ajili ya maombi na kufunga - Kamanda Polisi wa Mkoa huo amesema Wanawake hao wanashikiliwa kufuatia kifo cha Mtoto huyo ambaye mwili wake umekutwa na majeraha shingoni na kwenye mbavu.

Shaffih Dauda

 • Likes 721
 • Username shaffih
 • Caption Rais wa Shirikisho la soka duniani FIFA - Gianni Infantino amewasili Tanzania alfajiri hii akiwa ameongozana na Rais wa CAF Ahmad Ahmad na kupokelewa na waziri mwenye dhamana ya michezo Harrison Mwakyembe na Rais wa TFF Walace Karia.
 • Likes 3648
 • Username shaffih
 • Caption As Roma wana kazi ya kumzuia Fred , Stadio Olimpico.
 • Likes 5491
 • Username shaffih
 • Caption Old Trafford ndio jibu.
 • Likes 2970
 • Username shaffih
 • Caption Shakhtar Donetsk 1-1 Roma Cengiz nder Facundo Ferreyra 68' - UCL
 • Likes 3851
 • Username shaffih
 • Caption Sevilla 0-0 Manchester United 66' -UCL
 • Likes 2857
 • Username shaffih
 • Caption Shakhtar Donetsk 0-1 Roma Cengiz nder HT - UCL

Udakutz

 • Likes 1752
 • Username udakutz_
 • Caption Kitu gani kimekuvutia saana kutoka katika picha hii mpya ya Msanii wa Bongoflava @mauasama ??? FUNGUKA HAPA TAFADHALI
 • Likes 1336
 • Username udakutz_
 • Caption Malkia wa @wcb_wasafi @queendarleen_ 休
 • Likes 1537
 • Username udakutz_
 • Caption Muonekano Mpyaaa Wa @queendarleen_ 休休休
 • Likes 1490
 • Username udakutz_
 • Caption Mkuu wa Wilaya ya Pangani Zainab amempongeza Mume wake Abdul Mohamed kwa kuoa Mke wa pili "Kwa kuwa dini yetu ya Kiislam inaruhusu, wazo lilitoka kwangu, kulingana na majukumu yangu nalazimika mda mwingi kuwa mbali hivyo mume wangu anakosa huduma za msingi" ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake IG @zainababdallah93 .Tuwatakie kila lakheri ..comment neno lolote Hapa kwa Mke Mkubwa Bi. Zainabu Kwa Moyo Wa kipekee.. Hakika amejiandikia record ya mwaka 2018
 • Likes 1925
 • Username udakutz_
 • Caption @mauasama 休休
 • Likes 804
 • Username udakutz_
 • Caption Je, unahitaji ung'are na upendeze kwenye harusi, mawlid, Akika ya mwanao au hafla mbalimbali kwa kanzu kali na ya kisasa?? Usihangaike, karibu @alhidayacollection ujipatie kanzu za aina mbalimbali mikono mifupi na mirefu kama vile Emirate, Daffah, Alwaseef, Hanawi, Sadaf, alshiaka, haramain na zingine kadhaa na kadhalika. Pia utapata vilemba, agal, sandals na perfume nzuuri za marashi ya Oud. Tupo Kariakoo mtaa wa tandamti na livingstone karibu na NMB BANK au wasiliana nasi 0658-500201. Pia kwa wale wa mikoani tutakutumia popote ulipo. Wacheki @alhidayacollection @alhidayacollection @alhidayacollection

Wema Sepetu

 • Likes 529
 • Username wemasepetu
 • Caption Piga/Call TUKULETEEE GESI nyumbani / MPAKA HOME - GESI AINA yoyote #Door to Door Call 0764 944 944/ 0712 944 944 #Terms&conditionsapply #ENADOTOenterprises
 • Likes 2831
 • Username wemasepetu
 • Caption
 • Likes 3156
 • Username wemasepetu
 • Caption DM matangazo bei poa
 • Likes 48418
 • Username wemasepetu
 • Caption Happy Birthday to my baby.... My mkwe.... My forever wii... Nakupenda juzi, jana na leo... @_esmaplatnumz Nakupikia kitu flani amazing maana ushasema umemiss chakula changu... I think thatll be my present... Chakula kitaaaamuuu... Ila kuna zawadi nyingine.... Its a Surprise....!!!! @_esmaplatnumz @_esmaplatnumz @_esmaplatnumz @_esmaplatnumz . . . Happy Birthday once again my love... . 歹歹
 • Likes 32228
 • Username wemasepetu
 • Caption Mbele yako, Nyuma Yetu... Sote tupo kwenye njia Moja... Rest In Eternal Peace.... My Condolences go out to your Loved ones... 滕滕
 • Likes 15951
 • Username wemasepetu
 • Caption I call him The Finest Dj ever.... Wat he does is One thing, Takes a Good Look at his Crowd and Trust me He automatically knows wat yall want to hear.... Huyu Jamaa anajua mpaka anakera.... My One in A Million... Call Him RJ The DJ.... . . It's Goin Down tomorrow....!!! At The JW MARIOT HOTEL in DEIRA Call this number for tickets and you can also get tickets at the get +971554534353 Dm @romyjons for more informations!!!!! #BILLIONAIREPARTYINDUBAI #BILLIONAIREGENTSSALON Artwork by @kimkayndo